Watu 22 wauawa katika maandamano nchini Angola Maandamano makali ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta, yaliyoambatana na uporaji mkubwa wa maduka ya vyakula yamesababisha vifo vya watu 22 nchini Angola. Read more about Watu 22 wauawa katika maandamano nchini Angola