Bobi Wine kumkabili tena Museveni Uchaguzi wa 2026 Tume ya Uchaguzi nchini Uganda imewaidhinisha Rais Yoweri Museveni na kiongozi wa upinzani Bobi Wine kugombea katika uchaguzi wa 2026 nchini humo. Read more about Bobi Wine kumkabili tena Museveni Uchaguzi wa 2026