BONDIA MTANZANIA APIGWA 'TKO' NCHINI KAZAKHSTAN
Bondia Abedi Zugo amepigwa kwa TKO katika pambano liliofanyika usiku wa jana kuamkia katika raundi ya tatu kutoka kwa bondia Bekman Soilybaev wa Kazakhstan kwenye pambano la raundi 12 na kushindwa kuendelea kupigana.