TARA walia uchache wa wahudumu wa radiolojia
Chama cha wataalamu wa kusoma mionzi ya tiba ijulikanayo kama Radiolojia (TARA) nchini kupitia raisi wake Bakari Msongawanja ameiomba serikali kuongeza vituo vya Afya vyenye ubora pamoja na wataalamu wa kusoma mionzi hiyo ili kuweza kurahisisha utoaji wa huduma hiyo.