Upasuaji kubadili maumbile Uingereza kuchunguzwa
Serikali ya Uingereza imetangaza mipango ya kukabiliana na biashara ya upasuaji kwa ajili ya kuboresha muenekano ikiwemo kuongeza makalio, kuongeza ukubwa wa viungo kama midomo na kuondoa makunyazi usoni.