Rais Samia atuma salamu za pole kifo cha Dkt. Jane Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Dk Jane Goodall ambaye alikuwa ni mtaalamu mashuhuri na mtafiti wa zoolojia. Read more about Rais Samia atuma salamu za pole kifo cha Dkt. Jane