Kesi ya Mara yaanza kusikilizwa nchini Mali

Mara ameshtakiwa kwa kudhoofisha uaminifu wa serikali, kupinga mamlaka halali, na kuchochea machafuko ya umma kufuatia maoni aliyoyatoa mwezi Julai kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuwatembelea viongozi wa upinzani waliozuiliwa jela.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS