Napheesa Collier akosoa vikali uongozi wa WNBA
Mchezaji nyota wa timu ya Minnesota Lynix inayoshiriki ligi ya mpira wa kikapu upande wa wanawake nchini Marekani (WNBA) Napheesa Collier amefunguka kuwa uongozi wa ligi hiyo ambao unaongozwa na Cathy Engelbert umekua na utaratibu mbovu ,waamuzi kutochezesha kwa haki.

