Balozi wa Afrika Kusiniakutwa amefariki hotelini
Mke wa Balozi huyo aliripoti kutoweka kwake baada ya kupokea ujumbe wa simu kutoka kwa mumewe ambao ulimtia wasiwasi, gazeti la Le Parisien limeripoti. Simu yake ilitafutwa hadi Bois de Boulogne lakini yeye hakupatikana.

