Barca kumuuza Raphinha baada ya Kombe la Dunia Raphinha - Mshambuliaji wa Klabu ya Barcelona Barcelona wanatazamia kumuongezea mkataba Raphinha ukiwa na kipengele cha kumuuza baada ya Kombe la Dunia la 2026 kwa mujibu wa ripoti kutoka nchini Uhispania. Read more about Barca kumuuza Raphinha baada ya Kombe la Dunia