Wazee Ruvuma waadhimisha siku ya wazee duniani Maadhimisho ya mwaka huu yamebeba kauli mbiu isemayo: "Wazee Tushiriki Uchaguzi Mkuu kwa Ustawi wa Jamii Yetu" kauli mbiu ambayo inalenga kuhamasisha ushiriki wa wazee katika mchakato wa kidemokrasia Read more about Wazee Ruvuma waadhimisha siku ya wazee duniani