Uchaguzi ndani ya chama umeigawa CHADEMA
Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, akizungumza na SupaBreakfast ya EastAfricaRadio amesema kuwa wakati wa kampeni za ndani ya CHADEMA za kumtafuta Mwenyekiti, taswira ya chama iliharibika sana kutokana na makundi ya ndani kushambuliana vikali.