Meloni awashutumu waandamanaji nchini Italia

Huko Roma, watu wapatao 20,000 walikusanyika mbele ya kituo kikuu cha treni cha Termini, kulingana na polisi wa eneo hilo, wengi wao wakiwa wanafunzi, wakipaza sauti “Palestine Huru!” na kushikilia bendera za Palestina. Wengine waliandamana kupitia Ukumbi wa Colosseum.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS