Wawili wafariki mgodini, uokoaji waendelea
Zoezi la kuwaokoa watu waliofukiwa na kifusi katika mgodi wa Dhahabu Nyandolwa kata ya Mwenge Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga linaendelea huku ikidaiwa kuwa bado watu wawili wakifariki dunia na wengine 20 bado wamekwama ardhini