Macron akiri ghasia za jeshi lake Cameroon Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekiri ghasia zilizofanywa na majeshi ya nchi yake nchini Cameroon wakati na baada ya taifa hilo la Afrika ya Kati kupigania uhuru. Read more about Macron akiri ghasia za jeshi lake Cameroon