UN yaonya ongezeko la Unyanyasaji duniani Zaidi ya manusura 4,600 duniani kote—wanawake, wanaume na watoto—walikuwa wahanga wa unyanyasaji wa kijinsia kwa malengo yanayohusiana na vita mwaka 2024. Read more about UN yaonya ongezeko la Unyanyasaji duniani