Zelensky aapa kulipiza kisasi shambulio la Urusi Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Igor Klymenko amesema kuwa takriban maeneo 100 ya kiraia yameharibiwa na shambulio hilo kote nchini humo, huku vitongoji vyote vikiwa magofu. Read more about Zelensky aapa kulipiza kisasi shambulio la Urusi