Lebron James aweka historia ya kipekee NBA
LeBron James amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya NBA kufunga jumla ya pointi 50,000 katika mechi za playyoff 8,162 na regular season 41,871 baada ya kuisaidia Los Angeles Lakers kuifunga New Orleans Pelicans.