Ndege tano za U.S. F-35 zatua Puerto Rico
Tukio hilo limejiri baada ya ziara ya kushtukiza ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth pamoja na jenerali mkuu wa Marekani huku nchini Puerto Rico wiki hii huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya Marekani na Venezuela.