Serikali kujenga mtandao mkubwa wa mabomba ya gesi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga bomba la gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala (kilomita 19) jijini Dar es Salaam.