Uamuzi kesi ya kufutwa sherehe za uhuru ni leo
Uamuzi huo utatolewa mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Dk. Juliana Massabo katika kesi ambayo Madeleka alihoji uhalali wa tangazo la serikali la kufutwa kwa sherehe za uhuru wa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika (Tanzania Bara) za mwaka huu (2025).

