Polisi kuchunguza kisa cha magari kuchomwa moto
“Magari hayo yalitumika kusafirisha mwili wa marehemu Mwanahasan Juma Hamis (18) ambaye ni mfanyakazi wa ndani aliyefariki kwa maradhi jijini Dar es Salaam kisha kusafirishwa Kwenda mkoani Morogoro kwa shughuli za mazishi,”.

