Mapigano yawakimbiza raia mashariki mwa DRC

Mapema jana wakazi katika jiji hilo, lililoko kati ya milima na Ziwa Tanganyika, walikuwa wakitoroka makazi yao, huku wakazi, wanajeshi, maafisa wa polisi, na wafanyakazi wa utawala wakikimbia tishio hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS