Aliyetafuta utajiri aachwa juu ya kaburi Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka. Read more about Aliyetafuta utajiri aachwa juu ya kaburi