Kesi ya viongozi Chadema kuendelea kuunguruma leo

Wanaoshtakiwa katika kesi hiyo ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, Mjumbe wa Kamati kuu, Rose Mayemba na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS