Chelsea wapewa 51% kushinda UEFA Conference league

Wachezaji wa Klabu ya Chelsea

Tovuti ya takwimu za mpira wa Miguu Duniani (OPTA ANALYST) imetoa asilimia 51.1% taji la UEFA Conference League  ndani ya dakika 90 dhidi ya  Real Betis hapo kesho Jumatano Uwanja wa Tarczyński, nchini Poland majira ya Saa nne kamili usiku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS