Magari 15 ya SSH 2030 yakamatwa na Polisi
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo Septemba 4, 2025, Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema kuwa kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola limeendelea kutekeleza majukumu yake ya msingi ya kuzuia vitendo vya kihalifu.