Ripoti
Katibu wa baraza la wazee la Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali, amesema wataandamana endapo Manispaa ya Ilala haitowapa majibu ya maombi yao ya kuongezewa eneo la Jangwani.
Ripoti
Mweneyekiti wa klabu ya Simba, Alhadj Ismail Aden Rage amesema Rais Jakaya Kikwete ametoa shilingi milion 30 kwa klabu hiyo kusaidia harakati za ujenzi wa uwanja wao wa Bunju
Ripoti
Muogeleaji wa Kenya, Iyas Shivji, amesema angependa kuona sheria ya uraia wa nchi mbili ikipitishwa hapa nchini ili apate nafasi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa.