Barua kutoka FIFA imeeleza kuwa Yanga wanatakiwa kulipa kiasi hicho ndani ya siku 45 kutoka Agosti 19 au kukata rufaa kabla ya Septemba 3 2024 endapo hawajakubaliana na hukumu hiyo
Okrah ambaye alitambulishwa na Yanga kwenye michuano ya Mapinduzi 2024 na ameachana na klabu hiyo Julai 2024 baada ya mkataba wake kumalizika huku alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Bechem United Septemba 7 2023 baada ya kuachana na Simba SC Julai 2023