Japo MB Dogg hakusema moja kwa moja kuwa amerudi Tip Topp Connection, msanii huyu amesema kuwa, kwa sasa amerudi kufanya kazi zake na Babu Tale, Abdu Bonge na wengine ili kuhakikisha kuwa kazi zake zinanyiika kama zamani.
Msikie MB Dogg Mwenyewe hapa akieleza.