Jumapili , 22nd Oct , 2023

Unaambiwa Rihanna anapanga kufanya 'Come back' ya muziki kwa kufanya Tour yake 2024/2025 baada ya kusaini dili la Live Nation kwa Dolla Milioni 32 sawa na Tsh Bilioni 80.

Picha ya Rihanna

Inasemekana staa huyo wa muziki duniani na mfanyabiashara Rihanna tayari ana Album 2 mpya amerekodi na zinatarajiwa kuachiwa.