![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2023/10/17/WhatsApp Image 2023-10-17 at 8.50.13 PM.jpeg?itok=FHu7yG32×tamp=1697565130)
Miongoni mwa mechi ambazo Algeria imejitolea kuisadia timu ya taifa ya Palestina kuandaa ni pamoja na mechi za maandalizi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026 na Kombe la Asia la 2027.
Kutokana na vita vinavyoendelea huko Gaza, taifa la Algeria limejitolea kuandaa mechi zote rasmi na zisizo rasmi zinazohusisha timu ya taifa ya Palestina ikiwa ni pamoja na kubeba gharama zote zitakazopatikana kwa kipindi chote hicho ambacho timu hiyo itakuwa nchini humo.
Miongoni mwa mechi ambazo Algeria imejitolea kuisadia timu ya taifa ya Palestina kuandaa ni pamoja na mechi za maandalizi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026 na Kombe la Asia la 2027.