Alhamisi , 12th Oct , 2023

Tegemea kusikia ngoma mpya kutoka mkongwe wa BongoFleva Mr Nice nakiwa na Toto Bad Marioo.

Picha ya Marioo kulia kushoto ni Mr Nice

Mr Nice amefichua hilo kupitia page yake ya Instagram baada ya kupost cover ya ngoma hiyo mpya ya Shisha akiandika

"Ni heshima kubwa kutoka kwa mdogo wangu @marioo_tz aliponitafuta na kuniambia kuna kazi anataka tufanye nikajiuliza tutafanya nyimbo gani pamoja, ila mpaka sasa siwezi kuchelewa kusema kuwa tumefanya nyimbo kubwa na itafanya vizuri sana na ndio funga mwaka 2023 to 2024. Tell me that you are ready for us".