Jumapili , 8th Oct , 2023

Kikosi cha Simba SC kimefikisha pointi 15 na kupanda kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu NBC baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain gate FC katika uwanja wa Liti mkoani Singida

 Bao la Saido Ntibanzokoza dakika ya 26 lilikuwa la mipango na bao la pili la Moses Phiri ambaye pigo hilo lilimshinda Beno Kakolanya.

Bao la Singida Fountain Gate lilifungwa na Deus Kaseke kutokana na makosa ya Ally Salim kàtika kuokoa hatari

Pointi 15 ikiwa inaongoza ligi wanafikisha Simba baada ya kucheza mechi tano msimu wa 2023/24.

Bado ligi ni mbichi na bingwa mtetezi Yanga naye ana kasi ya kupata matokeo kwa kuwa mchezo uliopita ni mabao 3-0 dhidi ya Geita Gold ilishinda ugenin