
Cyrill
Ngoma mbili za star huyo, 'Alowa' pamoja na 'Nikikuona' ambazo zinaonesha utofauti wake mkubwa, ni rekodi ambazo binafsi anakiri kuwa zimemfikisha kule ambapo hakutarajia, ikiwepo kutikisa chati za muziki nje ya mipaka ya nchi.
00:00
00:00
00:00