msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi akiwa na Lady Jaydee
Nikki Mbishi ameshauri kuwa, hali hiyo imeafanya wananchi kutokuwa na imani na serikali na watendaji wake na kutoa wito kutumia uchaguzi mkuu ujao kuchagua viongozi safi.
Nikki Mbishi, rapa aliyezua mjadala mkubwa baada ya hatua yake ya kutangaza kuacha muziki, ametoa maoni yake kuhusiana na hali ya sasa ya kisiasa, na kusema kuwa mfumo uliopo unaonyesha dhahiri kuwa wahalifu wa mali za umma wamejaa serikalini.