Picha ya Shilole na Babalevo
Babalevo ameshea picha ya Shilole kwenye Insta Story yake kwa kuandika kwamba "Kuanzia leo kaa mbali na maisha yangu mi sio hao mb** wako unaowafuga nakujua vyema usitake niongee tafadhali".
Huenda hali si shwari kwa urafiki wa wasanii wawili kati ya Babalevo na Shilole baada ya Babalevo kumuonya Shilole akae mbali na maisha yake asimfanye akaanza kuongea mambo yake.