
Msanii Ruby kushoto, Mose Iyobo kulia
Ruby ametumia ukurasa wake wa Instagram kwa kushea picha ya Mose Iyobo katika kumbukumbu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuandika.
"Happy birthday Baba Cookie, nakupenda sana na unajua"
Ikumbukwe tu Aunty Ezekiel kwa sasa ana mtoto mwingine wa kiume na msanii Kusah ambaye ni mpenzi wa zamani wa Ruby ambapo kwenye mahusiano yao pia wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike.