Ijumaa , 28th Mei , 2021

Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 27, kitakachoingia kambini Juni 5, 2021 kujiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Malawi.

Wachezaji wa Taifa Stars

Kocha Kim ametangaza kikosi hicho leo huku akimjumuhisha mshambuliaji wa Mbeya City Denis Kibu kwa mara ya kwanza, na wachezaji kama Jonas mkude, Farid Mussa na Thomas Ulimwengu wakiachwa kwenye kikosi hicho.

Kikosi kamili kilichotangazwa leo