Baby Madaha
Baby Madaha ambaye amekuwa akifanya kazi chini ya lebo ya Candy n Candy amesema kuwa, licha ya kuwepo kwa uchache wa showz nchini Kenya, malipo yake huwa vizuri kuliko hapa nyumbani, na hapa anaeleza zaidi.
Baada ya msanii wa muziki, Baby Madaha kurejea kwa mashabiki wake na zawadi mpya ya ngoma 'Mahaba Niuwe' akiwa zaidi amekuwa akifanya kazi zake huko Kenya, ameweka wazi kuwepo kwa tofauti kubwa ya soko la shoo za muziki kati ya nchi hiyo na Tanzania.