Paul Makonda (katikati)
Makonda amesema kuwa, uzinduzi wa soko hilo utasaidia wananchi kununua Madini na vito mbalimbali, kwa njia halali na kupunguza matapeli waliokuwa wakiuzia wananchi na wageni madini na vito bandia.
''Katika soko hili yatapatikana madini ya aina zote hivyo itawawezesha watu wote kununua kwa uhalali na biola kutapeliwa''.
Aidha mkuu huyo wa mkoa amewataka wananchi kulitumia soko hilo kwakuwa ni halali na linatambulika na Serikali.