Ndani ya Jamii
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni Bibi aingia chochoroni kukaba Raia kisa ugumu wa maisha
Kanjibhai
Kanjibhai si tu kwamba anamwonea Shabani kumbe hata ugenini mambo yake ni yale yale.
Mazuzu
Hawa jamaa kuna siku wataenda kupanga Ikulu shuhudia hii
Magumashi
Mzee huyu mtata aamua kusaka noti kwa njia haramu auza magazeti ya miaka ya 2003
Habari ya Mjini
Uaminifu katika ndoa. je ukiwa kiwembe wakati huohuo unamchunga sana mkeo siku akijua kwamba wewe ni hatari kuliko hata ukimwi kwenye mambo ya ngono itakuwaje?