FNL MZUKA - MONA GANGSTER
Mona Gangster amefunguka kuwa hana ugomvi wowote na rapa Young Killer na kwamba mkataba wake uliisha kwenye studio yake.
FNL MZUKA - CHEGE
Chege anakiri kuwa ni kweli wasanii wana biashara nyingine Afrika Kusini na biashara hiyo ni muziki wa Tanzania kuvuka boda.
FNL MZUKA - SAUTI TAMU BAND
Burudani kutoka kwa Sauti Tamu Band hii hapa.