NJE YABOX
Repa Jafarai ameongea na Planet Bongo nakusema bado anafanya kazi muziki kama biashara  na  mwezi wa pili 2016 anategemea kuachia  kazi  yake mpya.
KITENGO
Mwanadada  Shaa amesema hapendi  tabia ya Mashabiki kumshindanisha na Mwanamuziki Vannesa Mdee wa Tanzania.
3CHAFU
Repa Blackrhyno amejiachia katika kipengele kipya  kabisa ndani ya Planet Bongo cha 3CHAFU ambapo Msanii anataja burudani tatu  anazozipenda kutoka  kwenye Filamu,Sports na Video kali anayoikubali  kutoka kwenye Bongo Fleva.

