Alhamisi , 10th Sep , 2015

Diva anayefanya poa katika tasnia ya uigizaji filamu na muziki Lolo da Princess amezungumzia nafasi yake kama kijana katika upande wa siasa kuwahamasisha vijana wenzake kushiriki vyema katika uchaguzi mkuu mwezi ujao.

msanii wa muziki na mwigizaji wa filamu nchini Lolo Da Princess

Lola amesema kuwa pamoja na uhamasishwaji huo ameelezea kuwa amefurahishwa na wasanii wengi wakiwemo pia wa kike kujitokeza zaidi kugombania nafasi mbalimbali za uongozi na anatarajia kutumia nafasi yake ya sanaa kuendelea kuwasapoti katika nyanja mbalimbali.