Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa MWISHO katika familia ya watoto WATATU nina dada WAWILI
Ninaishi MBAGALA na BABA na MAMA
Mtaani kwangu najulikana kwa UCHESHI NA UKARIMU
Mimi nimesoma mpaka FORM 4
Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) KUIGIZA
Mafanikio katika Fani:
Mafanikio yangu katika dansi nimeweza kujifunza vitu mbalimbali kutoka kwa wenzangu pia na michezo tofauti ya kudansi
Year: