
Juma Balinya
Juma Balinya alisajiliwa Yanga akiwa ametoka kuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda msimu wa 2018/19.
Balinya ambaye aliifungia Polisi FC ya Uganda magoli 17, hivyo kuwa mfungaji bora.
'Tumefikia makubaliano na aliyekuwa mchezaji wetu, Juma Balinya kuvunja mkataba kuanzia leo tarehe 11/12/2019' imeeleza taarifa ya Yanga kwa ufupi.
Taarifa kamili ni kama inavyoonekana hapo chini.