Alhamisi , 29th Jul , 2021

Klabu ya soka ya Yanga imethibitisha kuachana na mlinzi wa kati Lamine Moro baada ya pande zote mbili kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba.

Lamine Moro

Lamine ndio alikuwa nahodha wa Yanga kwa msimu wa 2020-21.

Soma taarifa kamili ya Yanga SC hapo chini