
Mechi ya Msimu wa pili ya B- ball Kitaa iliyozikutanisha timu mbili zenye upinzani wa hali ya juu baina na mshindi wa mchezo huo timu Patrick Nyembera wa East africa tv na Shafii Dauda ambaye aliingia mitini hapo jana na kuiaacha timu yake ikiadhibiwa vikalikatika mchezo huo
Mechi hiyo ilifanyika jan usiku katika uwanja wa ndani wa taifa jijini Dar es salaam ikitanguliwa na mchezo wa timu za wanawake za Don Bosco na Vijana ambapo mratibu wa mashindano hayo Ruben Ndege amesema mpango huo wa Bibo Kitaa unaochanganya wachezaji nyota na chipukizi utasaidia kupata kina Hashim Thabiti wengine ambao nao watawika katika anga la kimataifa.
