
Makao Makuu ya TFF
Ufafanuzi huo umekuja mufa mfupi baada ya Mkurugenzi wa TAKUKURU Brigedia John Mbungo, kusema wanafanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha ndani ya Shirikisho la Soka zikiwemo hizo Bilioni moja.
#HABARI Baada ya jana Katibu Mkuu wa @Tanfootball Kidao Wilfred kuweka wazi matumizi ya fedha mbalimbali ndani ya shirikisho hilo, Mkurugenzi wa TAKUKURU Brigedia John Mbungo, amesema kuna fedha zimetumika vibaya ikiwemo zilitolewa na Rais @MagufuliJP na watuhumiwa watahojiwa. pic.twitter.com/oKj5WoRtmC
— eastafricatv (@eastafricatv) May 15, 2020
Zaidi soma taarifa kamili hapo chini.